Friday, January 20, 2012

Dida azushiwa tena kuuza madawa ya kulevya

 
Khadija Shaibu ‘Dida’.

MTANGAZAJI ‘kiwango’ wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa na Radio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’, amezushiwa tena skendo ya kwamba eti anauza madawa ya kulevya.Akizungumza kwa masikitiko juu ya uzushi huo, Dida alisema ameshangaa kuona mtu mmoja ambaye hamjui akisambaza ujumbe mtandaoni kuwa eti anafanya biashara hiyo haramu na ndiyo maana kila siku anakwenda mamtoni.Ujumbe huo ulitumwa kwenye ukurasa wa Dida wa Facebook na kwenye blog yake hivyo kufanya watu walioutembelea kushangazwa na maneno hayo.Hata hivyo, Dida alimjibu aliyeposti maneno…

No comments:

Post a Comment