Friday, January 20, 2012

DIAMOND AMPA WEMA VITISHO


Wema Isaac Sepetu. 
MWANAMUZIKI Naseeb Abdul Jumaa ‘Diamond’, (pichani juu), anadaiwa kumpa vitishio aliyekuwa mpenzi wake Wema Isaac Sepetu kufuatia kitendo cha mlimwende huyo kumbania penzi.
Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa Wema, vitisho hivyo vimekuwepo tangu wawili hao walipofarakana baada ya mrembo huyo kudai kumfumania Diamond na Miss Tanzania namba mbili 2006/07,…


Habari: Na Musa Mateja

No comments:

Post a Comment