Thursday, May 9, 2013

SALAMA JABIR "AKINYONYWA ULIMI" NA MDAFADA HADHARANI......!!

BONGO DAWN TOWN
Katika  pitapita   zangu nimefanikiwa  kumnasa  live  Salama Jabir  akinyonyana  ndimi  bila  chenga  na  mwenzake...!!
Nashindwa  kuthibitisha  huyo  wa  pili  ni  nani  na  ni  jinsia  gani....nikimwangalia  haraka  haraka  naona  kama  ni  mwanaume  na  namfananisha  na  mdogo  wake    Wema   Sepetu  aitwaye  Bill Sepetu.....
Nikijaribu  kukaza  macho  kwa  kwa  makini,  huyo  wa  pili  namuona  kama  ni  mwanamke  kutokana  na vazi  lake.Hicho  cha  mabegani  nakifananisha   na  sidiria  za  akina  dada....!!
Yaani  nimeumiza  macho  mpaka  yanauma...Nashindwa  kuyaamini  macho  yangu  kuhusu  Salama Jabir. Sikutegemea..!!

6 comments:

  1. mjini karaha muhimu tumuombe Mola atunusuru kizazi chetu kijacho dunia imekuwa nzito watu nao wamezidi uzito

    ReplyDelete
  2. HUYO NI MVULANI KINACHOONEKANA SHINGONI NI ZILE CHEN ZA KAMBA SIDIRIA HAIWEZI KUKARIBIA SHINGO WASOMAJI .

    ReplyDelete
  3. SASA WAKATI UNAWAPIGA PICHA ULISHINDWAJE KUJUA KAMA NI MWANAMKE MWNZAKE AU MWANAUME .HAPO NDO WABANGO WANAPONIKATISHA TAAMAAA KUUZA HABARI BILA UHAKIKI.MIE NAISH MAJUU MDADA MSAGAJI HATA AWE VIPI UTAJUA KAMA NI MDADA SASA WE UMESHINDWAJE KUJUA .NAWE NDO MNAFIKI MWENYEWE SENG... KUBWA ANDIKA KITU KWA UHAKIKA USIUMIZE KICHWA KITU KISICHOKUHUSU FALA WEEEEEE

    ReplyDelete
  4. Kwa Tz Tutaendelea Kuona Kila Kitu Ni Kigeni Kwa Kuwa Si Utamaduni Wetu, Ila Tukumbuke Kuwa Katiba Ya Jamuhur Inasema Kila Mtu Atakuwa Na Haki Ya Kufanya Chochote Juu Ya Mwili Wake Ispokuwa Kuudhuru Mwili, Na Hakuna Sheria Iliyoandikwa Mpaka Sasa Kukataza Watu Wa Jinsia Moja (Kulana Denda). Hivyo Bas, Hatuna Mamlaka Juu Ya Miili Yao Kwan Hata Ukisema Ni Lack Of Intergrity, It Won't Help. Kizazi Cha M/mungu Kimeisha, Hapa Tutakubali Tu Kutawala Kwa Shetani!... Asanteni Waelimishaji.

    ReplyDelete