Wednesday, May 1, 2013

DUH,CHUKUA TIME YAKO KUSOMA BARUA HII ALIYOTUMIWA DIAMOND PLATINUMZ NA MAMA YAKE MZAZI

BONGO DAWN TOWN


Dear diamond....sina imani we ni mzima wa afya kutokana hasa namambo unayofanya kiukweliii katika wasanii wakali mpaka kupitiliza hapa tz wew ni mmoja wapo.. napenda sana vibonzo vyako hasa kile cha " nani amenuna nani amenuna eti nani amenuna" najua utakua umemalizia WEMA... katika kila shoo zako unazofanyaga mara nyingi huwa unataja kumheshim sana mama yako mzazi kutokana na malezi aliyokupa toka kipindi kile unauza MITUMBA.. lakini saiz unafanya mama wa watu aonekane alizaa toto zinzi ambalo kama limetumwa kuzini na kuumiza wanaume wenzie.. ivi unajua mke anauma kias gani hata kama wanajileta we ni mtu mzima ambaye unatakiwa kupembua mambo.... hasa kuhusu jambo la HILI MBURULA LENZIO UWOZO or SORY I mean UWOYA.. unajua kabisa kaka yetu NDIKU ambaye anafanya kazi ngumu ya kukabana
na wakina NSAJIGWA NFUSO uwanjani ili apate chochte cha kulisha family yake lakini wew bila
huruma una ramba asali yake... ivi unajua mtoto wa uwoya "krish" atakopukua njiani kwenda shule
wenzie watakua daily wakimuambia " mtoto wa kambo wa DOMO huyo' ivi dear diamond mbna
unataka mama yako asipewe heshma sababu ya wew hujui ka unamfanya awe despsd infrnt of da
pple... najua hujaelewa coz elimu kwako ni tatizo
utampigia wema akufafanulie ila usi mrecord coz anakusaidia ww.... au umea athirika unafanya
kusambaza.. hawa wanawake wapo toka enzi za ma dinossaurs,,, mwambie penny akuambie maANA ya
dinossaurs.. huu mda unaoangaika na wanawake ungejiendeleza ata kielimu iyo 4m four itakufksha
wap.. na wew mama diamond ivi huoni anachofanya mwanao unashindwa kumshauli au
unataka uje kumwambia akishaanza kuharisha na kumvisha visepe.. ERIC SHIGONGO naomba ukiiona
hii itupie kwenye ijumaa wikienda ili babu yangu wa ileje Ambaye hatumiii fb asome mana kila siku
amekua akiipenda nyimbo ya mbagala bila kujua uovu wa aliyeimba kwa leo yatosha ila TACAIDS
naamini itakutemblea diamond siku si nyingi kkupa matumizi saHII YA arv
wako shabiki nambA MOJA DUNIA NZIMA....... via mbele kuchungu

Mbeya region
P.O.BOX 0759209081
MBEYA

2 comments:

  1. HUYU DIAMOND ELIMU NA AKILI HANA MIE MWANAMKE NILIACHANA NA WANAUME WATATU ENZI HIZO NA SIJAONA MWANAUME MSHENZI HANI,,, KAMA DIAMOND WEWE KAMA HUMAIND WEMA KILA UKITOA ALBAMU LAZMA UMWIMBE MNAFIKI MKUBWA ,NA MAMA YAKO AACHE KUVAA MAVING AENDE NATURE KA WATU WAZIMA . UMESIKIKA TUMIA UTU WAKO
    FRN DNMRK

    ReplyDelete
  2. NAKUUNGA MKONO . ANGALIA WEMA ALIVYO MSTAARABU YUKOKINYA YY ALIPOFUMANIWA NA KIDOTI AKATOKA NA NIMPENDE NANI , WEMA AKAMWACHA , HAKUMALIZA AKATOA NYINGINE AKAJA NA NATAKA KULEWA SASA NDO ATALEWA MPAKA AVULIWE NGUO .HANA HAYA WALA HAJUI VIBAYA ANATAKA UMAARUFU KUPITIA WENZAKE .
    HUYO MM YAKE SIMLAUMU KWANI NA YY NAE NDO MBEBA MABANGO MTOTO AKIWA NA MWANAMKE YY YUKO MBELE NA MAWIGI ,

    PENNY NAE ASUBIRI ZAMU YAKE WAMEINGIA WANAWKE ALMAARUF IJE YY ALODANGANYWA NA GARILA KLINIK

    HIVI WANAWAKE KUJIBEBESHA MIMBA NDO MBAKI KWA WANAUME AU?
    MWACHE ATALEA MTOTO HUKUAKILIA NA MITO KITANDANI CHEZEA ISSA MATONA

    ReplyDelete