Wednesday, October 19, 2011

MKWANJA WAMPONZA SNOOP DOGG NORWAY!



CALVIN CORDOZAR BROADUS,JR. AKA RAPPER SNOOP DOGG
Rapper Snoop Dogg alionja joto ya usemi wa mo' money equals mo' problems baada ya kushikiliwa na maafisa wa uhamiaji wa nchini Norway kwa kua alikua ana 'mkwanja mrefu' Snoop alikwenda norway kupiga show na alipokua anataka ku-sign autographs za fans wake wapatao 600 kwenye duka la Adidas,kabla ya kupiga show pande za Spektrum Arena,na alifunguka kuwa maafisa wa uhamiaji walimzukia na kumuuliza kuhusu kutembea na hela nyingi na baadaye kutupia kwenye twitter "They talkn bout takn my $$!!" That aint rite!! Norway standup 4 the biggdogg!! they makn me late 4 this adidas instore autograph signin!" na kuwaomba radhi fans wake hao

No comments:

Post a Comment