Wednesday, October 19, 2011

RAPPER GNL ZAMBA ATOKA KIJAMII ZAIDI


ERNEST ZAMBA - GNL ZAMBA
Lugaflow Artist toka Uganda,Ernest N. Zamba aka GNL Zamba na kundi la models wenye asili ya Afrika toka Marekani,wameonesha uzalendo kwa kuungana pamoja katika mpango wa hisani wa kusaidia kupiga vita na kusaidia kuchangia magonjwa ya Cancer,Malaria na HIV kwa vijana
GNL ZAMBA vs MODELS
Charity Organization hiyo itatumia umaarufu wao kwa ajili ya kuchangia fedha kati ya models hao wa Marekani wenye asili ya Africa na huu umekua mwanzo mzuri sana kwa GNL kwenye kusaidia jamii

No comments:

Post a Comment