
Za Chini ya Carpet zimefunguliwa kuwa,Member wa zamani wa kundi 'marehemu' la Blu3,Lillian Mbabazi ana mpango wa kutoka kwenye label ya Talent Africa na kuamua kufanya kazi kama solo artist

Na kutokana na uamuzi huo Talent Africa inayoongozwa na Aly Alibhai ilifunguka kuwa 'kuanzia mwezi November,performing artiste Lillian Mbabazi hatakua chini yao na wanamtakia kila la kheri na wako tayari kushirikiana nae akihitaji....Na inasemekana kuwa kwa sasa Lilian anataka awe chini ya kundi la GudLyf Crew ambalo mmoja wa member wa kundi hilo, Mowzey Radio ni baby baba wake
No comments:
Post a Comment