Thursday, April 18, 2013

KILICHOANDIKWA NA GLOBAL GRIND KUHUSU MTANZANIA FLAVIANA MATATA

BONGO DAWN TOWN

.
Global Grind (globalgrind.com) ni moja ya tovuti za Marekani zenye wingi wa Watusi wanaozitembelea na zilizo na uhodari wa kupasha watu habari ambapo time hii Mwanamitindo Mtanzania Flaviana Matata anaefanya kazi na kuishi New York ametisha tena kwa kuchukua nafasi kubwa kwenye headlines kama unavyoona hapa kutokana na kazi nzuri na kubwa anayoifanya.
.

.
.
.
.
.

Wednesday, April 17, 2013

PICHA / LULU KAFANYA SHEREHE YA SIKU YA KUZALIWA, KAANDIKA PIA KUHUSU UMRI WAKE!

BONGO DAWN TOWN
The birthday girl herself who just turned 18 like caption on the cake & her comment below the says.
Awwww so gorgeous Lulu & her lil brother 
A birthday kisses to his gorgeous sister 
Mama Lulu all smiles & relaxed
Dinner was served
Lulu's number one supporter Dr, Chain was there too she calls him 'Baba" meaning daddy
Ali Kiba in the house
With a friend
Lulu giving a word of thanks
Receiving a present from a friend
Beautiful 
Wishing you all the best Lulu. Happy 18th Birthday.Mwigizaji Elizabeth Michael (Lulu) ambae kwa sasa yuko nje kwa dhamana kutokana na kesi inayomkabili ya kuua bila kukusudia, amefanya party kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa April 17 ambapo aliandika kuhusu umri wake kwenye hii picha ya kwanza ya keki hapa chini ili kuondoa utata ambao ulijitokeza ambapo taarifa nyingine zilisema amezidi miaka 18 lakini nyingine zikisema yuko chini ya miaka 18.

Saturday, April 13, 2013

"NATOA MAPINI MAKALI LAKINI HAYAGONGWI NA SIPATI SHOW YOYOTE.....REDIO ZINA WASANII WAO"...CHID BENZ

BONGO DAWN TOWN


Bongo Flava market is now a beast! Kila msanii analalamika kuanzia Profesa Jay, Lady Jaydee na sasa Chidi Benz. Nani mwenye unafuu?

Leo hit-maker huyo wa Dar Standup amewasilisha kilio chake kupitia Twitter kama ifuatavyo:

Wasanii wengi waoga kutokana na hali halisi ya maisha waliyotoka,sio wa kuchekwa.wasanii wengi wanafiki koz hawajiamini kiuwezo binafsi.

Redio zina wasanii wanaowashikilia,Redio sio yako so eiza jiunge nao au achana nao.wengi sio wakali wanatengenezwa na wanahitaji hilo.Njaa

Natoa ngoma hazigongwi,no shwz,hakuna chcht but utaskia kapigana mgomvi habadiliki,mimi ambae nimefanya kazi na wasanii woote?nawapigaje?

Mimi ni msanii wa kwanza kukusanya wasanii wengi sehem moja,tulikua na nguvu na naenda nao kokote.wadau wakaogopa wanajua nina uwezo.wanajua

Friday, April 12, 2013

JOHARI AGOMA KUKATA MAUNO YAKE MBELE YA RAY

BONGO DAWN TOWN
MKONGWE kwenye ‘Industry’ ya Filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ alitoa kali ya aina yake baada ya kukataa kuzungusha nyonga mbele ya mwigizaji mwenzake, Vincent Kigos ‘Ray’ anayedaiwa ni mpenzi wake

Tukio hilo lililonaswa na mwandishi wetu juzikati, lilitokea katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar wakati wasanii hao walipojumuika pamoja kwa ajili ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu kitokee kifo cha msanii mwenzao, Steven Kanumba.

Akiwa viwanjani hapo, Johari aliitwa kupanda jukwaani na wasanii wenzake kwa ajili ya kucheza sebene kidogo lakini yeye alikataa na mwandishi wetu alimsikia akijitetea kuwa hawezi kukata nyonga mbele ya wasanii wenzake hususan Ray ambaye ni bosi mwenzake kwenye kampuni yao ya RJ Company.

“Siwezi kujidhalilisha mbele ya umati huo kwa kukata kiuno tena na bosi mwenzangu yupo pale, labda ningekuwa nimelewa kiasi cha kutojitambua hapo ningefanya madudu kama hayo,” alisema Johari.

KWA HISANI YA GPL

HIVI NDIVYO AMBAVYO MSANII SHAA ANGEVUA NGUO HADHARANI NA KUBAKIZA KIVAZI CHA KUOGELEA TU

BONGO DAWN TOWN
April 8, Shaa alitweet, “Lava Lava Video imefikisha views 44,000+ leo ikifikisha 100,000 naenda kuogelea coco beach mchana kweupe lets do.
 Hata hivyo hits 100,000 hazikufika. Lakini mchoraji Maarufu, Dennis aka Kapwipwi ameamua kutuonesha jinsi muonekano wa Shaa ungekuwa iwapo hits hizo zingefika na kutimiza ahadi yake.

Mama Wema Amfanyia Vurugu Wema Nyumbani Kwake

BONGO DAWN TOWN

NI kivumbi! Kuna madai kwamba, staa wa Bongo asiyechuja, Wema Sepetu amemfikisha mama yake, Miriam Sepetu kwenye Kituo cha Polisi Kijitonyama ‘Mabatini’, Dar kwa madai ya kwenda nyumbani kwake na kufanya vurugu zilizosababisha kuharibika kwa samani mbalimbali.
Kwa mujibu , ishu hiyo ilijiri usiku wa kuamkia Jumatano iliyopita, nyumbani kwa Wema, Kijitonyama, jijini Dar.
Mbali na mama mtu, wengine waliofikishwa kituoni hapo ni dada mkubwa wa Wema aitwaye Nuru na kijana aliyefahamika kwa jina moja la Bestizo ambaye inasemekana ni mshirika mkubwa wa Diamond kwenye masuala ya mtandao wa msanii huyo.
“Wema alikuwa nyumbani kwake usiku huo, watuhumiwa hao wakamzukia na kuanza kumchapa makofi ya ‘kelbu’ ambapo katika mshikemshike huo, baadhi ya vitu vilivunjika na kumtia hasara staa huyo,” kilisema chanzo.
Haikujulikana mara moja ni kitu gani kilisababisha mama mzazi huyo, dada mtu na kijana asiyekuwa ndugu kwenda kwa Wema na kutenda kosa hilo.
Wema alikwenda polisi na kuandikisha maelezo ambayo yameingizwa kwenye jalada lenye kumbukumbu; KJN/RB/2755/2013 SHAMBULIO, KUHARIBU MALI. Kwa habari zaidi soma Magazeti Pendwa ya Global yajayo.

SUPER STAR RAYUU ALIPOFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA TOKEA PICHA ZAKE ZA UTUPU KUVUJA MITANDAONI

BONGO DAWN TOWN

Thursday, April 11, 2013

WITNES WA WAKILISHA HAYUPO TENA KATIKA NDOA YAKE

BONGO DAWN TOWN
Msanii Witnes pichani amenitumia ujumbe huu, "Hi,I want to tell every one kwamba am no longer married to Mokeys.I wanted you to know from me and please don't asky why.Much Love.

So sad,hii inamaanisha kuwa hakuna ndoa tena kati yake na mume wake ambaye walifunga ndo kama mwaka mmoja uliopita.

PICHA / SHILOLE ANASWA NA BWANA WA KIZUNGU..!!

BONGO DAWN TOWN
Shilole akiwa katika pozi na mzungu wake aitwaye George.
...Wakiwa dukani.
...Shilole na mzungu wake wakijiachia.
...Wakikatiza mitaani.
Hapa wakimkatikia mzungu..
 
PICHA KWA HISANI YA GPL

Wednesday, April 10, 2013

BLOG YA ''BONGO FLAVA LINK'' YARUDI TENA SASA

BONGO DAWN TOWN
 

KWA BURUDANI NA UDAKU WA MASTAA WA BONGO NA VITUKO VYAO http://bongflavalink.blogspot.com/

''SHAA'' NITAVUA NGUO ZOTE HADHARANI ENDAPO VIDEO YANGU ITAFIKISHA VIEWS 100,000 ........

BONGO DAWN TOWN

Kwa  waliokuwa  na  hamu  ya  kumuona  huyu  naye  akiwa  nusu  uchi  na  kivazi  cha  kuogelea  tuu, huu  sasa  ni  wakati  wao.....
Coca Cola  pop Star  maarufu  kwa  jina  la  Shaa  amedai kuwa  yupo  tayari  kuvua  nguo  zake  hadharani  na  kuyaanika  maungo yake  nyeti  na  kubakiza  kichupi  cha  kuogelea  tu  endapo  video  yake  mpya  ya  Lava Lava itafikisha  views  100,000  katika  mtandao  wa  youtube 

Monday, April 8, 2013

JINI KABULA AIVURUGA NDOA YA JACK CHUZ

BONGO DAWN TOWN

Jack Chuz na mumewe Gadna Dibibi siku ya ndoa yao.

MWIGIZAJI aliyeng’ara kupitia Tamthilia ya Jumba la Dhahabu, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’, ameirarua ndoa ya mwigizaji mwenzake, Jacqueline Pentzel ‘Jack Chuz’ baada kuambiwa amehusika kuiunganisha ndoa hiyo.
Jini Kabula alifikia hatua ya kufunguka hayo hivi karibuni baada ya Jack Chuz kufunga ndoa na Gadna Dibibi kisha kushushiwa lawama na mwanamke ambaye alizaa na mwanaume huyo wa Jack.
Chanzo kilichoomba hifadhi ya jina kililiambia Ijumaa Wikienda kuwa baada ya Jack Chuz kuolewa, wameibuka watu ambao wanamtuhumu Jini Kabula wakidai ukuwadi wake ndiyo umesababisha Gadna kumuacha mwanamke aliyezaa naye na kumuoa Jack.
“Jini Kabula amechukizwa sana na maneno hayo kwani hata yeye hakumkuwadia Jack, hasira zilipompata ndipo alipotoa siri ambayo hajawahi kuitoa kwamba hata yeye aliwahi kuporwa mume na Jack,” kilisema chanzo hicho.
 
Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’.
Akionesha hisia zake kuhusiana na tuhuma hizo za ukuwadi, Jini Kabula alisema hataki kulaumiwa kwani hana tabia za aina hiyo.
“Nachukizwa sana na watu wanaosema nimemshawishi Jack kuolewa wakati nina maisha yangu na yeye ana maisha yake, ana uamuzi wake kwenye maisha yake, naomba ieleweke kuwa mimi si mzazi wa Jack wanikome.
 
Mr Chuz.
“Mimi siyo kuwadi na wakae wakijua yule ni Jack na mimi ni Miriam, hivyo ni vitu viwili tofauti. Maisha yake hayanihusu na huyo demu aliyezaa na Gadna anashangaa nini Jack kuolewa na mzazi mwenzie wakati mimi sishangai kwa kuwa Jack aliwahi kunipindua kwa baba mtoto wangu Chuz,” alisema.

 KWA HISANI YA GPL

LULU AONGOZA WASANII NA WENGINEO KUTEMBELEA KABURI LA MAREHEMU STEVEN KANUMBA




BONGO DAWN TOWN
 Wakimuombea Marehemu Steven Kanumba
 Lulu akiwa na mama yake mzazi jana walipo tembelea kaburi la marehemu Steven Kanumba ikiwa ni mwaka mmoja toka amefariki
Shada la Maua likiwekwa kaburini hapo

Sunday, April 7, 2013

YALIYOJILI KWENYE PARTY YA KAJALA (AMBASSADOR LOUNGE)

BONGO DAWN TOWN
Usiku wa J.mosi hii pale Ambassadador Lounge ulikuwa ni usiku wa Kajala ambapo alifanyiwa
Party ilimkutanisha na Ndugu,Jamaa,Marafiki pamoja na Mashabiki wake...
Kajala aliambatana na Rafiki yake kipenzi Wema Sepetu na walikata Cake kwapamoja...

Wema, Ally Nipishe & Kajala...


Hapa wakiingia ndani ya Ukumbi wa Ambassadador Lounge




Hizi ni Cake mbili alizoandaliwa Kajala usiku huo...


Akiongea na Raia....

Wema pia alipewa Nafasi yakuongea....

Baada ya Kajala kuskia sauti ya Wema machozi yalimwagika....