BONGO DAWN TOWN
Nikijaribu
kukaza macho kwa kwa makini, huyo wa pili namuona kama ni
mwanamke kutokana na vazi lake.Hicho cha mabegani nakifananisha
na sidiria za akina dada....!!
Katika pitapita zangu nimefanikiwa kumnasa live Salama Jabir akinyonyana ndimi bila chenga na mwenzake...!!
Nashindwa kuthibitisha huyo wa pili ni nani na ni jinsia gani....nikimwangalia haraka haraka naona kama ni mwanaume na namfananisha na mdogo wake Wema Sepetu aitwaye Bill Sepetu.....
Nashindwa kuthibitisha huyo wa pili ni nani na ni jinsia gani....nikimwangalia haraka haraka naona kama ni mwanaume na namfananisha na mdogo wake Wema Sepetu aitwaye Bill Sepetu.....
mjini karaha muhimu tumuombe Mola atunusuru kizazi chetu kijacho dunia imekuwa nzito watu nao wamezidi uzito
ReplyDeleteHUYO NI MVULANI KINACHOONEKANA SHINGONI NI ZILE CHEN ZA KAMBA SIDIRIA HAIWEZI KUKARIBIA SHINGO WASOMAJI .
ReplyDeleteSASA WAKATI UNAWAPIGA PICHA ULISHINDWAJE KUJUA KAMA NI MWANAMKE MWNZAKE AU MWANAUME .HAPO NDO WABANGO WANAPONIKATISHA TAAMAAA KUUZA HABARI BILA UHAKIKI.MIE NAISH MAJUU MDADA MSAGAJI HATA AWE VIPI UTAJUA KAMA NI MDADA SASA WE UMESHINDWAJE KUJUA .NAWE NDO MNAFIKI MWENYEWE SENG... KUBWA ANDIKA KITU KWA UHAKIKA USIUMIZE KICHWA KITU KISICHOKUHUSU FALA WEEEEEE
ReplyDeleteAaah ninoma xana!!
ReplyDeleteMambo ya binadamu hayo tilililili
ReplyDeleteKwa Tz Tutaendelea Kuona Kila Kitu Ni Kigeni Kwa Kuwa Si Utamaduni Wetu, Ila Tukumbuke Kuwa Katiba Ya Jamuhur Inasema Kila Mtu Atakuwa Na Haki Ya Kufanya Chochote Juu Ya Mwili Wake Ispokuwa Kuudhuru Mwili, Na Hakuna Sheria Iliyoandikwa Mpaka Sasa Kukataza Watu Wa Jinsia Moja (Kulana Denda). Hivyo Bas, Hatuna Mamlaka Juu Ya Miili Yao Kwan Hata Ukisema Ni Lack Of Intergrity, It Won't Help. Kizazi Cha M/mungu Kimeisha, Hapa Tutakubali Tu Kutawala Kwa Shetani!... Asanteni Waelimishaji.
ReplyDelete