Monday, June 25, 2012

VODA YATOWA BURUDANI KWA WATEJA WAO BURE

Chuma Blog


Hapa akiwaonyesha mashabiki hao jinsi kiuno kinavyokatwa huku wachesha shoo wake wakimshuhudia bosi wao anavyoonesha ufundi wa kuzungusha nyonga

HII i nyomi ya watu waliofulika kwenye uwanja huo ambapo kiingili ilikuwa ni a.k.a Buree

Wapili kupanda ni mkali Dimpoz

Fid Q alikuwa wa mwisho kupafomu kwenye tamasha hilo la Wajanja
Watatu kufafomu kwenye shoo hiyo ya wajanja ilikuwa ni mkali Shetah ambaye aliuwasha moto kisawasawa

No comments:

Post a Comment