Monday, June 25, 2012

MWANA FA AIBIWA VITU VYA GARI YAKE

Chuma Blog



Wizi huo umefanyika usiku wa kuamkia jana na inavyoekena ni kuwa wezi walipanda na kuvuka geti kimya kimya, kwa raha zao wakanyofoa taa na kuingia ndani kuchukua radio.

No comments:

Post a Comment