Katika tukio lililowachanganya wengi, gari aina ya Stallet Toyota inayomilikiwa na Mfalme SELE, Imekamatwa na polisi wanaolinda Benk moja mjini morogoro,kwa kutokana na wasanii wezake kutoka kundi la watu poli (Dogo Black na wengine)kuonekana kutaka kuleta vuruku karibu na eneo hilo lililo kuwa karibu na benk na apo ndipo polisi walipo tokea na kuwaweka chini ya ulizi.
SIKILIZA ALICHONIJIBU SELE BAADA YA TUKIO ........
Habari inavo sema kuwa polisi walipo fika katika tukio ndani ya gari ilo walikuta silaa kama visu na katika gari hilo alikuwepo 20% na wasanii wengine.
Katika tukio ilo 20% ilimuwia vibaya sana kungoja polisi wafike katika gari hilo kwani hata hivyo alikuwa amevaa bukta ya ndani tu,si ndio hapo hakaamuwa kutoka kama alivyo na kuanza kukimbia.Ila walio kuwa ndani ya gari ndio wakakamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi wa polisi.
Ila muda sio mrefu Afande Sele alifika katika tukio akiwa na 20% na kulitaka gari lake.Ndipo mzozo ukachukuwa nafasi tena,Ila inasemeka wasanii wezake wapo ndani hadi sasa.......Katika tukio ilo 20% ilimuwia vibaya sana kungoja polisi wafike katika gari hilo kwani hata hivyo alikuwa amevaa bukta ya ndani tu,si ndio hapo hakaamuwa kutoka kama alivyo na kuanza kukimbia.Ila walio kuwa ndani ya gari ndio wakakamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi wa polisi.
SIKILIZA ALICHONIJIBU SELE BAADA YA TUKIO ........
No comments:
Post a Comment