Tuesday, April 3, 2012

Diamond na mr. Nice kupikika chungu kimoja

Chuma Blog


Baada ya mwanamuziki Diamond kumaliza party yake iliyojaa drama za aina yake, sasa anatarajia kufanya Collabo na
msanii mwenzake Mr Nice’.

Mr Nice amesema anatarajia kukamilisha wimbo mpya, ambao utakuja kuufunika wimbo
wake wa sasa ‘Aibu gani’ atakao mshirikisha Nasib Abdull aka ‘Diamond’.
Mr Nice amesema tayari ameshaingiza mashairi yake kwenye studio ya Fish Crab, bado tu
Diamond kuweka mistari yake, ambapo alichelewa kutoka na kuwa bize na Show yake ya Diamonds are Forever.
Nyimbo hiyo inatarajiwa kuwa katika staili ya Afro pop na bongo fleva,
ikiwa imetengenezwa na producer Lamar.

No comments:

Post a Comment