Chuma Blog
Bibi Cheka na wanaye wanatarajia kufanya bonge la Tamasha katika uwanja wa Jamuhuri Mkoani Morogoro siku ya pasaka na usiku ndani ya ukumbi wa DDC,Kwani burudani itakuwa inaendelea pasaka pili kule kilosa. Mkubwa na wanae amesema kwamba hii itakuwa mara yake ya kwanza kwa bibi Cheka, kwakuwa aliwahi kupanda jukwaani katika Media Day kwakuwa alikuwepo sehemu ya tukio na kulazimishwa kufanya hivyo. Amesema lakini siku ya Pasaka anatarajia kufanya kazi ya maana kwakuwa ndiyo siku yake ya kufanya Show kwa mara ya kwanza. Miongoni mwa wasanii watakao msindikiza ni Dogo Aslay, Mhe Temba, Feruz, Shilole na wasanii kibao. Pia zawadi zitakazotolewa kwa mtoto atakayeimba vizuri wimbo wa Naenda kusema, atapata Tv na wengine wataondoka na zawadi kibao ikiwemo begi pamoja na madaftari yake.

No comments:
Post a Comment