Saturday, March 31, 2012

Wema Sepetu Kuwa na Siku Ngumu ndani ya Mlimani city.....Diamond Afunika

Chuma Blog
Kwani siku ya jana kwa mwanadada Wema ilikuwa ngumu sana,kwani muda mwingi mapapalazi walikuwa nae karibu.
















 Diamond, Mama mzazi wa Diamond & Queen Darling

Diamond alikuwa bize na kuimba huku Wema akiendelea kumbembeleza kumtunza

Baada ya Diamond kukataa kupokea pesa hizo Wema alikasirika na kuzitupa pesa kisha kurudi kukaa

Picha Na: kajunason

No comments:

Post a Comment