Wednesday, January 4, 2012

New Song: JCB MAKALLA - ONLINE

Mambo vipi.......Hii ndio nyimbo mpya ya Jcb anayo fungua mwaka alio itengeneza katika studio za watengwa na producer Daz naledge...tunaomba ushirikiano wenu mkubwa katika kuifikisha hii ngoma katika levo za juu,kuanzia madjz,washkaji wote wenye blog na mtu yoyoye ambaye anaweza ifikisha bali zaidi....watengwa recognize yoh.....PEACE





Track............................ONLINE
Artist............................Jcb ft. Lavost
Studio............................Watengwa records
Label..............................Watengwa records

No comments:

Post a Comment