Mwasiti AlmasJamani mm ni mtanzania asili,nimezaliwa,nimekulia,nimesoma na music ninafanyia hapa hapa kwetu TZ..sasa kuna baadhi ya mitandao inasema kuwa mm ni kenyan musician ambavyo si sawa!!narudia tena MWASITI ALMAS ni muafrika mashariki toka TANZANIA na sio kwengine...lv u guys
No comments:
Post a Comment