Wednesday, April 10, 2013

''SHAA'' NITAVUA NGUO ZOTE HADHARANI ENDAPO VIDEO YANGU ITAFIKISHA VIEWS 100,000 ........

BONGO DAWN TOWN

Kwa  waliokuwa  na  hamu  ya  kumuona  huyu  naye  akiwa  nusu  uchi  na  kivazi  cha  kuogelea  tuu, huu  sasa  ni  wakati  wao.....
Coca Cola  pop Star  maarufu  kwa  jina  la  Shaa  amedai kuwa  yupo  tayari  kuvua  nguo  zake  hadharani  na  kuyaanika  maungo yake  nyeti  na  kubakiza  kichupi  cha  kuogelea  tu  endapo  video  yake  mpya  ya  Lava Lava itafikisha  views  100,000  katika  mtandao  wa  youtube 

1 comment:

  1. analazimisha tuiangalie ama?hatudanganyikiiiiiiiiiiiiiii,siangaliii ng'ooooooooo,chizi huyo.

    ReplyDelete