Saturday, June 16, 2012

TETEMESHA RECORDS SASA KUWEKA MAKAZI DAR

Chuma Blog
 Ni siku chache tu baada ya kupiga stori na mmiliki wa Tetemesha records ambayo ilikuwa jijini mwanza.

Chuma Blog iliendelea kuongea na mmiliki huyo Bw Sandu George(KIDBWOY) na alisema kuwa kwa sasa ametoka mwanza na yupo dar es salaam,pia akiwa ametowa studio yake mwanza na kuileta Dar.

Kwa kufanya hivo ni kutokana na kumaliza chuo na mkataba aliokuwa nao katika ofisi za uko.Kwa sasa yupo Dar na akifanya maisha uko........

kwa mawasiliano zaidi nae piga namba hii: 0713 131073

No comments:

Post a Comment