Friday, June 15, 2012

HAPPYBIRTHDAY LADY JAY DEE


Chuma Blog
Zawadi ya kwanza ilikuwa ni kutoka kwa Swahiba wake Peter
  walio kuwa wote na lady jay dee saa 6 kamili usiku
 
"Maneno kutoka kwa Lady jey dee"
 
  "IT'S MY BIRTHDAY"
Ndio New Year kwangu
MUNGU ndio alieamua niwepo tena, namshukuru sana
 
 CHUMA BLOG INAKUTAKIA MAISHA MAREFU ZAIDI

No comments:

Post a Comment