Chuma Blog

Mwanadada
 MirryCandle toka ChugaTown arusha sasa anarelease brand new  single 
yake ambayo ni mahadhi ya afrofusion ilotengenezewa pande za  
noizmekah.com.Ikiwa ni love joint izungumziayo hisia za mwanadada akiwa 
 ameuvaa uhusika wa secret admirer.Ukimya nauvunja kwa kuahidi fans 
wangu  mfululizo wa ngoma kali mfululizo,video yangu ya candlelight 
pamoja na  audio yake,otherwise much respect kwa wadau wote nchini 
katika media na  majumbani,Pamoja sana
No comments:
Post a Comment