Friday, December 2, 2011

Tuna Sikitika Kumpoteza Mr.Ebbo

Ndugu wenzangu usiku wa jana, kuna ujumbe wa kusikitisha sana ya kwamba Abel Motika a.k.a Mr. Ebbo ambae ni msanii na pia ni producer wa muziki katika studio yake ya Motika Records mjini Tanga ameaga duniani,taarifa zilizopatikana kwa jirani yake wa Mr.Ebbo amesema kuwa alikuwa anaumwa na alikuwa amelazwa hospitali ya Mount Meru na  usiku ndipo alifunga ukrasa wake wa maisha na safari yake ya kuishia ndio ulifika mwishoni mwa jana saa 5 usiku. 
Ehee...Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi ,Amen

Ni Hii Ndio Nyimbo Yake Ya  MI MMASAII


No comments:

Post a Comment