
Wanaharakati wa muziki wa kizazi kipya (Anti virus), wako mbioni na ziara yao ya kimuziki inayotarajiwa kufanyika baada ya wiki mbili mkoani mbeya ,ambapo kiongozi wa kundi hilo Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a MR II, mbunge wa jimbo la mbeya Mjini anatokea.Baada ya show hiyo, wanatarajia kuendelea katika mikoa mingine nchini Tanzania ili kuwapa burudani mashabiki wao na kutetea haki za wasanii wa muziki wa kizazi kipya. Vilevile baada ya kumaliza show zote nchini Tanzania wanatarajia kufanya show South Afrika ambayo itakua ni mwakani mwezi hujao..
No comments:
Post a Comment