Tuesday, November 1, 2011

SAFARI YA MISS VODACOM TANZANIA 2011 KUELEKEA FAINALI ZA MREMBO WA DUNIA

Hapa Miss Vodacom Tanzania 2011 Salha Israel wa kwanza kushoto akiwa katika Vazi la Ufukweni na Wenzake katika maonesho ya Mavazi hayo hapo jana.

Miss Vodacom Tanzania 2011 Salha Israel wa Kumi kutoka kulia akiwa na wenzake katika Dina la nguvu Huko Scottish maeneo ya Scottish Hydro.
Miss Vodacom Tanzia 2011 Salha Israel aliye vaa Nguo za Njano katika Mazoezi ya nguvu kabisa wakati wa maandalizi ya shindano la Miss World Tanzania.
  
Huu ndiyo uzuri na mvuto wa mrembo wetu wa Taifa la Tanzania 2011,Salha israel akiwa katika pozi la beach wear...

No comments:

Post a Comment