Tuesday, November 1, 2011

MR 2 AZUNGUMZIA MIAKA 50 YA UHURU NA MAFANIKIO YA MUZIKI TANZANIA


 
Mbunge wa mbeya mjini Joseph Mbilinyi,maharufu kama Mr II,Ameweka bayana kuwa katika,Kuelekea katika kilele cha sherehe za miaka 50 ya Uhuru,Ameweka bayana kuwa Watanzania wamekubali Muziki wa Kizazi kipya kwa zaidi ya asilimia 90%..Kuhusu unyonyaji wa kazi za wasanii ameitaka Radio Tanzania (TBC)Iwalipe wasanii wote wa zamani kwa unyonyaji wakiwafanyika kwa muda wote wa miaka 50.kwa maana Radio Tanzania ndio imefaidika na mauzo ya kazi za wasanii bila wasanii husika kufaidika kwa ubunifu na jasho lao..

No comments:

Post a Comment