
Artist wa Dancehall toka Jamaica,Barrington "Bossie" Burton aka Vybz Kartel na anakabiliwa na mashitaka jijini Kingston-Jamaica Kwa mujibu wa polisi wa Jamaica,Vybz Kartel anashtakiwa kwa mauaji na biashara ya silaha na alikamatwa kwenye kitongoji cha Portmore na Kartel anadaiwa kushirikiana na mshikaji mwingine kufanya uhalifu huo
No comments:
Post a Comment