
Face Book: Hi FRIENDS! NIMENUSURIKA AJALI MBAYA SANA KARIBIA NA ENEO LA NANGURUKURU WAKATI NAELEKEA MTWARA MIDA YA SAA SITA KASORO MCHANA AMBAPO BASI TULILOPANDA LA NG'ITU NAMBA1 LILIPINDUKA NA KUBURUZIKA HATUA KADHAA MATAIRI YAKIWA JUU NA JUU KUKIWA CHINI, NIMEPATA MAJERAHA MADOGO KWENYE PAJI LA USO,MKONO WA KULIA,NA KUSHITUKA KWA SHINGO,BEGA NA MGONGO. HAKUNA ALIYEKUFA ILA KUNA ABIRIA WALIBANWA VIBAYA SANA KWENYE VITI...NIPO MTWARA KWA SASA. ALHAMDULILLAH. ''PAMOJA''
No comments:
Post a Comment