Sunday, October 2, 2011

Ki2 cha kanga moko ni noumeeer!!! ..ndani ya club 84 Dodoma..

Nikiwa ndani ya Dodoma ilinibidi kutembelea club,Nilipofika club niliambiwa kuwa leo kutakuwa na show ya kanga moja.Ilinibidi kusubili kuona show yao kwani nilichoona ni Burudani,Ila unatakiwa kuwatafuta mwenyewe ushudie mambo yao Nomaaaaaaaaaaa........sana.

No comments:

Post a Comment