Saturday, October 1, 2011

JINAMIZI LA BONGO DANSI LIMEANZA KUTISHA NCHINI SEIRRA LEONE!

  Vyombo vya habari Seirra Leone vimeitaja Ngoma Africa kuwa bendi bora ya kiafrika barani Ulaya !
Wanachi wa Seirra Leone,Afrika magharibi  wamejikuta wakikosa usingizi na kushikwa na ugonjwa kupenda mdundo wa mziki wa dansi kutoka Tanzania maarufu kama "Bongo Dansi"
baada ya vituo vya redio vya nchi hiyo kuanzakupiga nyimbo za bendi maarufu ya dansi barani ulaya "Ngoma Africa Band " aka FFU,pia magazeti ya Seirra Leone kama yanavyoandika  http://www.sierraexpressmedia.com/archives/29981

No comments:

Post a Comment