| " ROBERT FRANK (mwenye nyeusi)Big manager mzee wa club tatu..Maisha "Dar", 4Stars Club na Maisha "Dodoma" |
| Ilinibidi kuwai kuona Club, kwani nilipofika tu.nilikalibishwa na mwenyeje wangu ambaye ni manager wa club Maisha dodoma |
| huku tumeteka mji na baada ya hapa tunaelekea maeneo mengine kibiashara zaidi "manage" |
| kwani muda ulivokuwa unaenda nikajikuta sina hata sehemu ya kukanyaga |
| Dj s-Dizo |
No comments:
Post a Comment