Ni historia!! Tuzo Tano kwa wadau waliomwezesha kufika hapo alipo, na La Zaidi Engagement Ring kwa Wema Sepetu!! Diamond Platinumz He is a Star Bongo hapa"Maneno toka kwa WEMA"
Zawadi ya wema sepetu kwa DIAMOND platnum ni keki ya micriphone
Ila Diamond na Wema ni wapenzi wa muda sana, ila katika mausiano yao yalikuwa ya vikwazo vingi kwa watu kutokana na umaarufu wao.Habari toka kwa Diamond na Wema zinasema kuwa maamuzi yao ni manzuri sana kwao na maisha yao. Ili kuwa usiku wa furaha kwetu pale Maisha club tulipo valishana pete.Ila lingine lazaidi ni kujaza watu wengi kuliko show nyingi zilizo fanyika pale maisha club,kwani inaonekana hii ndio neema yetu katika maisha tunayo fanya mi na Wema.wema akaendelea kusema kuwa walikutan na vikwazo vingi sana ikiwemo maneno ya watu kuwa hawatafika mbali ila upendo wa kweli na uvumilivu ndo umewafanya wafikie hapo walipofikia
Diamond alisema kuwa anampenda sana Wema na kumwogopa kwani ni mwanamke wa pekee katika maisha yake kwani amekutana na wengi ila wema ndio chaguo lake kwake,sio hivo tu Wema ananieshemu sana na hicho ndio kitu muhimu katika mapenzi.
No comments:
Post a Comment