Friday, August 12, 2011

SITAKI KUUMIZWA- SAJNA FT LINAH KUFANYA Second CLUB VERSION

sajna
Wimbo wa Sajna aliomshirikisha Linah unaitwa Sitaki Kuumizwa ambao tuliutoa rasmi november mwaka jana, lakini hii ni CLUB VERSION. Kuna vingi vizuri kutoka kwa Sajna,Ila imetengenezwa Tetemesha records(Mwanza).

Track Name:   SITAKI KUUMIZWA (club version)
Singer:             SAJNA FT. LINAH
lyrics Verse-1, verse-2  - written by: KID BWOY
Linah's verse - written by JOSEFLY
Chorus written by SAJNA
arranged by:     KID BWOY
Produced by:   KID BWOY
Mixed by:        KID BWOY
Studio:            TETEMESHA RECORDZ (Mwanza)

No comments:

Post a Comment