Friday, August 12, 2011

BAJAJI BONGO BURUDANI

wageni ndani ya bajaji
Bajaji bongo yazidi kushika chati na kuwa burudani kwa wakazi wa jiji la dar es salaam na watanzania.Hapo ni mikochini jijini dar es salaam siku ya jana.kwani ata wageni waone burudani ya usafiri huo.

No comments:

Post a Comment