Friday, August 12, 2011

MWASITI ATOWA UJUMBE KWA VIJANA LEO

MWASITI (THT ART)
Leo ni siku ya vijana duniani...ningependa kujua nani ni Soja-soldier kwako yaani mtu ambaye amekufanya wewe uwe mchapakazi,ngangari,mtu unayejituma na kutafuta kwaajili ya maisha mazuri ya kesho na kesho kutwa..umejifunza nini wewe kijana wa leo?SOJA-SOLDIER kwangu ni mtu anayejituma kwa hali na mali ili apate cha kwake kwa amani bila tatizo,anayejitoa kwaajili ya taifa lake katika nyanja mbalimbali elimu,sanaa na mengi.

No comments:

Post a Comment