 |
| MONA GANGSTAR |
AKIWA KAZINI
Nikiwa na maana ya yule Producer aliye tengeneza nyimbo za wasanii wakali kama Belle 9, Linex, PNC na Wengine wengi.Ni moja ya ndoto zake za siku nyingi kuwa na studio yake mwenyewe,kwani katika safari ya uproduza aliwai kufanya kazi katika studio moja morogoro ambayo inaitwa TUFF RECORDS kabla ya kwenda Dar.Baada ya kuwa Dar alifanya tena katika studio nyingine itwayo MASANJUO RECORDS
Ila kwa sasa MONA GANGSTAR awa na studio yake mwenyewe itwayo CLASSIC SOUND inayo patika Kinondoni (manyanya) na kwa habari toka kwake mwenyewe anasema kuwa imeshaaza kazi.(Natumai itakuwa habari njema sana kwa wasanii)
No comments:
Post a Comment