Saturday, August 13, 2011

LUDACRIS NA WENGINEO TOKA NJE WATOZWE KODI

SUGU
Mbunge wa Mbeya mjini na ambaye pia ni Waziri Kivuli wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema kwamba utaratibu wa kuwaacha wasanii toka nje waje kuchukua fedha bila kutozwa kodi ni kulipotezea taifa pato la wazi.
Kwa mujibu wa mh Joseph Mbilinyi wasanii hawa huwa wanalipwa kati ya dola laki moja mpaka laki 4 (mil 150-600) na bado wanaachwa waondoke pasipo kulipa kodi. Sisi ni matajiri kiasi gani hadi kuacha hizi fedha, alihoji Sugu.

No comments:

Post a Comment