Saturday, August 13, 2011

MANSU-LI KUJA NA NYIMBO MPYA (NDANI YA NYUMBA)


MANSU-LI
Mwana wa kitaa cha Sinza, Sinza Star Hip hop Icon Mansu-Li anatarajia kuachia ngoma yake inayokwenda kwa jina la "Ndani ya Nyumba". Ngoma hii imefanywa na Mensen Selekta pale De Fetality.Ndani ya hii ngoma utamsikia Chege na Chibwa wa Mexicana Lacavera. Ni ngoma ya aina yake na kwa wapenzi hiphop na Bongo Fleva wataenjoy sana.

No comments:

Post a Comment