Saturday, August 13, 2011

FONABO KUACHIA NYIMBO MPYA Nagosanije




Ni Msanii wa Bongo Flava Anyetokea Shinyanga Lakini Kazi Zake Za Muziki Anazifanyia Mkoani Morogoro Ndani Ya Tuff Records. Chini Ya Mtayarishaji Gih Q. Pia Hapo Awali Aliwahi Kutoa Single Iliyofahamika Kwa Jina la MAISHA Ambayo Ilifanya Vizuri Kiasi Katika Media.
Hii Hapa Ni Kazi Yake Nyingine Ambayo Kwa Sasa Ameamua Kuiachia Kwa Mashabiki Wake Kwa Sababu Bila Wao Hawezi kufanikisha.

Track 1 ; Nagosanije (Sukuma Version)
          2 ; Nagosanije (Swahili Version)
Artist  ;    Fonabo
Prod. By; Gih Q +255657659969 
Studio  ;   Tuff records

No comments:

Post a Comment