Baadhi ya maandalizi ambayo huwa yanafanywa kabla ya kuanza Kipindi cha mambo Yoyo kinachorushwa na Kituo cha ITV Jumapili saa kumi na moja kasoro dakika tano jioni.Hizi picha za kipindi cha Jumapili hii na msanii atakaekuwepo tafadhali usikose kutazama.
![]() |
| Setting ya Camera |
![]() | |||
| Mtangazaji wa kipindi Lady Hanifa akifanya make up kabla ya kufanya kipindi. |
![]() |
| Msanii wa wiki ni (TIMBULO) akifanyiwa Make up |



No comments:
Post a Comment