BAADA YA KUMALIZA TOUR YA SOUTH AFRICA KURUDI HOME SASA
Baada ya kumaliza tour ya South Africa na Wateule. Wuliondoka na ndege ya 1time na kutua Zanzibar na baada ya hapo watu wazima wakala boti hadi Dar es Salaam jiji lenye matukio yakutosha mpaka basi.
Hapa wakiagwa na wenyeji wao waliowasindikiza mpaka airport, kuanzia kushoto ni Msanii Jay Moe, Nargal, Ramy, Nasser na dj choka
 |
| JAY MO Akiwa Airport |
 |
| DJ CHOKA |
No comments:
Post a Comment