Sunday, March 31, 2013

WE UNADHANI HII KAULI YA DIAMOND INAKWENDA MSANII GANI AU NANI??

BONGO DAWN TOWN
diamond: mi nafanya kazi, mazoezi na dancers, nahangaika kutafuta sare, kuandika nyimbo nzuri, wakati nafanya yote hayo we unakula unga, halafu unakuja kusema nasafiria nyota yako, nisafirie nyota ya mla unga? mi staki, staki, agombane na wakubwa wenzake kina dully mi aniache na wadogo wenzangu staki... Swali linakuja we unahisi anaambiwa nani? maneno hayaaaaaa!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment