POLISI MORO NA YANGA AKUNA MBABE 0 - 0
KIKOSI CHA YANGA SC
KIKOSI CHA POLISI MORO
Ligi kuu ya vodacom
imeendela leo kwenye viwanja kadhaa ambapo kwenye uwanja wa Jamhuri
Morogoro ambapo Polisi Moro waliweza kuikaribisha timu ya Yanga . katika mechi hiyo timu izo zilitunishiana misuli kwa kutoka sale ya bila kufungana.
No comments:
Post a Comment