Chuma Blog
Hili
ndio gari la Mwimbaji Kalala Juniour ambae Band yake ya MAPACHA WATATU
siku tano zilizopita ilitangaza kuacha kufanya nae kazi.
.
.
.
.
.
Mpaka taa za chini nazo zimeibiwa.
Kalala Juniour na rafiki yake.
(Picha zote zimetoka twanga-pepeta.blogspot.com)
No comments:
Post a Comment