Chuma Blog

“Nahitaji kufika mbali zaidi katika muziki wangu hivyo nafarajika
kuona wimbo wangu unapigwa kwenye televisheni hizo, kwani huo ni mwanzo
mzuri wa mimi kuonekana kimataifa zaidi,” alisema Dimpoz kwa pozi.
BAADA ya ngoma yake ya ‘Nai Nai’, kushika vilivyo msanii wa kibao hicho Omary Faraji Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz, ameuambia mtandao wa DarTalk kuwa amepewa mkataba na vituo vikubwa vya muziki Afrika MTV pamoja Trace ili wimbo wake uweze kupigwa kwenye vituo hivyo.
No comments:
Post a Comment