Thursday, July 26, 2012

NEW SONG: Jiwe ft dutch machine,davi d & amin - ndo wale wale

Chuma Blog
 Wananiita JIWE MWANAKIJIJI kama nauwakilisha mkoa wa mara nikitokea area code za 255 Dar City Dandadaaaa.
Mi ni radio n tv producer n presenter ila nafanya muziki kitambo sana n hii ni ngoma yangu mpya ambayo inakwenda kwa jina la NDO WALEWALE ambayo imefanyika SHINE PRODUCTIONS chini ya producer MR T TOUCHEZ,katika ngoma hii nimewashirikisha SUDI BAYA meneja wa studio ya shine productions,DACHI MASHINE mmoja kati ya wakali ambao wanauwezo wa kuimba kwa ufasaha sana na kuchana kwa ufanisi mkubwa,pia nimewashirikisha wakali wawili toka pale THT hapa namzungumzia DAVI D na AMINI mi hupenda kumuita NDULI bse ndo jina lililomfanya akaingia kwenye game.

ngoma hii iko kisiasa zaidi na najaribu kueleza hisia zangu kwa siasa hii ya maji taka inayoendelea nchini kwa sasa.sapoti yenu ndo kila kitu katika kuifanya ngoma hii kuwafikia walengwa ambao ni wanajamii wa taifa hili la tanzania ambalo mi hupenda kuliita taifa la WADANGANYIKA. 


LINS AND DOWNLOAD

natanguliza shukurani zangu za dhati kwenu ONE LOVE FELLAZ


contact

0714/0784/0767/0779 - 33 86 22

No comments:

Post a Comment