Chuma Blog
Leo hii mwanamuziki Dr. Jose Chameleo akiwa na mashabiki wake,
wamevamia ubalozi wa Tanzania nchini Uganda akidai kurudishiwa passport
yake iliyoshikiliwa na CEO wa Global Publishers Eric Shigongo kwa madai
ya kumlipa pesa kiasi cha dola za kimarekani 3500 Chameleo na kushindwa
kuja kufanya show.
askari wakijaribu kuwatawanya waandamanaji hao kutoka katika ubalozi wa Tanzania nchini Uganda
No comments:
Post a Comment