Chuma Blog
Muigizaji huyu wa Coming to America kwa miaka mingi amekuwa akizushiwa kuwa na uhusiano na mwanamuziki Johnny Gill.
Nguli huyu wa hip hop naye amekuwa akishutumiwa kushikishwa ukuta mara
kadhaa ambapo mtangazaji mwenye maneno mengi Wendy Williams alidai kuona
video ya Diddy na msanii wa zamani wa Bad Boy, Loon wakiwa kwenye pozi
la mikasi.
Fununu za kuwa gay zimemwandama kwa miaka mingi Queen Latifah na hivi
karibuni amedaiwa kuwa na uhusiano wa kisagaji na mwalimu wake wa
mazoezi
Maswali ya juu ya msimamo wa kimapenzi wa rapper huyu yamezuka mara
kibao. Na ukiangalia jinsi anavyopenda masuala ya fashion na kutokuwa na
uhusiano wa maana na wasichana huko nyuma, ni rahisi kumshuku.
Muigizaji huyu hajawahi kukataa ama kukubali kuwa ni gay baada ya jarida
la ‘Enquirer’ kudai kuwa alikuwa na uhusiano na mshiriki wa America’s
Next Top Model, AzMarie Livingston.
Baba huyu wa watoto watatu na mume wa Jada Pinkett naye amewahi kushambuliwa na shutuma za kuwa shoga wa siri siri.
Russell Simmons
Mwaka 2006 mwanamke asiyejulikana alidai kuokota BlackBerry ya Russell na alipoipekua aligundua kuwa jamaa alikuwa akiwatumia meseji za mapenzi wanaume.
Producer huyu wa filamu amewahi kuitwa shoga wa kabatini (closet gay) na
vyanzo mbalimbali na kukataa kuzungumzia tetesi hizo kwenye interviews.
Pamaja na ugumu wake kwenye nyimbo anazotoa, rapper na producer huyu
tajiri amewahi kusemwa pia kuwa shoga wa chini ya carpet na miezi ya
hivi karibuni Suge Knight alidai kuwa yeye na 2 Pac wamewahi kushuhudia
mahusiano ya Dre kama shoga.
Hivi karibuni mwimbaji wa zamani wa kundi la B2K, Raz B, alitoa kitabu na kumshutumu rapper huyu kuwa si riziki.
Muonekano wake na uvaaji unatosha kumsababisha watu wahisi ni wale wale.
Pia wanaume kadhaa wamewahi kudai kumchapa nao star huyu.
Ulishawahi kumuona Missy amevaa gauni? Lol… nadhani siku akivaa ardhi
inaweza kupasuka. Kuna ripoti kuwa rapper huyo alimuoa mpenzi wake
Sharaya.
Baada ya jana mwanamuziki wa kundi
la Odd Future, Frank Ocean kuanika ukweli hadharani kuwa aliwahi
kumpenda mwanaume mwenzie na hivyo kujulikana wazi kuwa ni gay, hawa
chini ni miongoni mwa maceleb wengine wa Marekani wanaodaiwa kuwa
mashoga wa kabatini.
Eddie Murphy |
P. Diddy |
Queen Latifah |
Kanye West |
Raven Symone |
Will Smith |
Russell Simmons
Mwaka 2006 mwanamke asiyejulikana alidai kuokota BlackBerry ya Russell na alipoipekua aligundua kuwa jamaa alikuwa akiwatumia meseji za mapenzi wanaume.
Tyler Perry |
Dr. Dre |
Bow Wow |
Ne-Yo |
Missy Elliot |
No comments:
Post a Comment