Chuma Blog
Wema
Isack Sepetu, kushoto ni alivyokuwa miaka ya nyuma hadi anakuwa Miss
Tanzania, na kulia ni alivyo sasa baada ya kutumia vipodozi
vinavyoelezwa kutokuwa vizuri kiafya – Picha ya mtandaoni.
Je, wewe msomaji, unamuona Wema yupi akiwa katika mwonekano wenye kuvutia hapo kwenye hiyo picha?
HUYU MTOTO MASHALA ALIKUWA MZURI SANA MIMI PICHA NINAYOIPENDA NI KUSHOTO KABLA HAJAWA MZUNGU WA DUKANI
ReplyDeletewema,wema,you was a very very beautiful girl before.Dont use chemical any more pls is too bad dear i love u soo much you are very talented keep it up
ReplyDelete