Friday, June 29, 2012

WEMA SEPETU AWA KAMA ZELUZELU...!!!!

Chuma Blog
Wema Isack Sepetu, kushoto ni alivyokuwa miaka ya nyuma hadi anakuwa Miss Tanzania, na kulia ni alivyo sasa baada ya kutumia vipodozi vinavyoelezwa kutokuwa vizuri kiafya – Picha ya mtandaoni.
Je, wewe msomaji, unamuona Wema yupi akiwa katika mwonekano wenye kuvutia hapo kwenye hiyo picha?

2 comments:

  1. HUYU MTOTO MASHALA ALIKUWA MZURI SANA MIMI PICHA NINAYOIPENDA NI KUSHOTO KABLA HAJAWA MZUNGU WA DUKANI

    ReplyDelete
  2. wema,wema,you was a very very beautiful girl before.Dont use chemical any more pls is too bad dear i love u soo much you are very talented keep it up

    ReplyDelete