Chuma Blog
Baada ya
kufanya kazi kama Afisa Uhusiano wa benki ya NMB, leo (June 2) Shyrose Bhaji ameacha
rasmi kazi ili kuanza majukumu mapya ya ubunge wa Afrika Mashariki.
Kupitia Twitter,
ameandika, “My last day with NMB...trully sad!!”
Katika hali
inayoonesha kukubalika kwa Shyrose katika majukumu hayo mapya Mheshimiwa Halima
Mdee (Mbunge) amemwambia, “Nina imani kubwa sana na wewe Bunge la Afrika Mashariki!
Shyrose
ambaye alijikusanyia sifa wakati wa uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki bungeni
Dodoma amemjibu Halima kwa kumwambia, “I promise to give it my best shot...wewe
ni miongoni mwa rafiki wa kweli na umenipigania hadi ushindi!
Kila lakheri Shyrose!
No comments:
Post a Comment